Mota ya kuvuta maji ikiwa imefungwa katikati ya dimbwi la maji nje ya soko la Kariakoo Dar es Salaam kwa ajili ya kunyonya na kupunguza maji hayo yaliyojaa sokoni hapo kutokana na mvua iliyonyesha jijini jana, na kusababisha usumbufu kwa wananchi waliofika sokoni hapo.
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment