Menu

Tuesday, April 27, 2010

*HABARI NDO HII YA VODACOM YAENDELEA NA KUFANYA VYEMA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, akiimba jukwaani wakati wa tamasha la Promosheni ya ‘Habari ndiyo hii’ lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki na kufanyika katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Morracka, akitumbuiza katika tamasha la habari ndio hii lililoandaliwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki iliyopita. Tamasha hilo lilifanyika katika ufukwe wa coco jijini Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment