
Mtafiti wa mpango wa Elimu ya Demokrasia (REDET), Dk Bernadeta Killian, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akitoa matokeo ya utafiti uliofanywa kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kushoto ni Mwenyekiti Mwenza wa Taasisi hiyo, Dk. Benson Bana.
No comments:
Post a Comment