Rais Jakaya Kikwete (wapili kushoto) akiangalia wasanii wa ngoma ya asili ya Uganda baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kampala tayari kwa kuudhulia mkutano wa Afrika Mashariki kuhusu masuala ya uwekezaji. Picha na Fredy Maro
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA NHIF KUELEKEA AFCON
-
*Serikali imeutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kujipanga
kikamilifu katika maandalizi ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika
(AFCON) 2027...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment