Habari za Punde

*ZANZIBAR WASAINI KATABA WA KUTANDAZA WAYA WA UMEME 'CABLE MARINE'

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, (wapili kulia), Balozi wa Marekani Nchini, Alphonso E. Lenhardt, wakishuhudia utiaji saini mkataba wa kazi za ulazaji waya wa umeme, (Cable marine) kutoka Ras Kiromoni Dar es Salaam hadi Fumba, wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba huo uliosainiwa na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Tanzania, Bernad Mchomvu na Tesuji Onno, mwakilishi wa Kampuni ya Viscus ya nchini Japan. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.