Rais Jakaya Kikwete (wapili kushoto) akiangalia wasanii wa ngoma ya asili ya Uganda baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kampala tayari kwa kuudhulia mkutano wa Afrika Mashariki kuhusu masuala ya uwekezaji. Picha na Fredy Maro
MOROCCO YAKWAMA KWA MALI, ZATOKA SARE 1-1
-
WENYEJI, Morocco wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mali katika
mchezo wa Kundi A Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 usiku
huu U...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment