Menu

Friday, April 30, 2010

*RAIS JAKAYA KIKWETE ATUA KAMPALA KUUDHULIA MKUTANO WA EAC


Rais Jakaya Kikwete (wapili kushoto) akiangalia wasanii wa ngoma ya asili ya Uganda baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kampala tayari kwa kuudhulia mkutano wa Afrika Mashariki kuhusu masuala ya uwekezaji. Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment