Hii ni Hoteli maarufu ya Peacock iliyopo mitaa ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam, ambayo kwa sasa jina lake linasomeka kama ACOCK HOTEL, kama ilivyonaswa na Sufianimafoto jana haikuweza kufahamika iwapo imebadilishwa jina ama ni ubovu wa kumeguka baadhi ya herufi ama limewasibu lipi, wahusi hebu lifanyieni kazi hili kabla hawajaona na wengine na wakaanza kujiuliza maswali kama ninayojiuliza mie jamani eeeh!
Hili ni gari aina ya HICE, iliyonaswa na Sufianimafoto ikiwa katika barabara ya Bagamoyo eneo la Mbezi Beach Dar es Salaam, likielekea maeneo ya Mwenge, maswali ya wengi walioliona gari hilo walibaki na mawswali je limeunganishwa ama ndo toleo jipya la magari hayo???
*MAMA OMBA OMBA AJIPIMA KIATU CHA KISISTER DUH
Mama huyo akijipima kiatu kirefu cha kisister Duh kama alivyonaswa na Sufianimafoto kwenye Mtaa wa Kisutu Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment