
Baadhi ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakiandamana kuelekea Kituo cha Polisi Kati Dar es Salaam leo, baada ya kutoka katika Mahakama Kuu, huku wakisindikizwa na gari la Polisi Deffender, katika barabara ya Kivukoni.

Baadhi ya wazee, watoto na wajuu wa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Masharikiwakipiga kelele za kudai haki yao jirani na Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati walikofika kufuatilia madai ya malipo yao leo mchana Dar es Salaam.


Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (kushoto) akisisitiza jambo kwa wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya yaAfrika Mashariki waliofika katika kituo cha Polisi cha kati kufuatilia madai ya malipo yao.
No comments:
Post a Comment