Menu

Thursday, May 27, 2010

*ADOLPH DOMINGEZ ATUA DAR KUWAPA SHAVU EXTRA BONGO

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari 2006 Limited Muhingo Rweyemamu (kulia) akizungumza na mwanamziki kutoka DRC, wa bendi ya Wenge Tonyatonya, Adolphe Domingez wa kwanza kushoto, Promota wa mwanamziki huyo, Nsana Jules na mratibu, King Dodoo wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo. Mwamuziki huyo anatarajia kutumbuiza katika utambulisho rasmi wa bendi Exta Bongio katika ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam kesho.

No comments:

Post a Comment