
Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF, Leodger Tenga, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kukamilika kwa taratibu za ujio wa timu ya Taifa ya Brazil nchini kwa ajili ya kucheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki na Taifa Stars, ambapo timu hiyo inatarajia kutua nchini Juni 6 na kucheza juni 7 mwaka huu. Kulia ni Mratibu wa mechi hiyo kutoa Brazil, Philippe Huber na Katibu Mkuu wa TFF, Frederick Mwakalebela.

Mwakilishi wa wadhamini wakuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) Teddy Mapunda akisoma hotuba yake wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment