Mchezaji anayewaniwa na Klabu ya Man United, Anelka, ameifungulia mlango wa magoli timu yake ya Chelse, baada ya kufunga goli la kwanza katika dakika ya 6 ya kipindi cha kwanza cha mchezo dhidi yao na Wigan, baada ya dakika 26 ya kipindi hicho cha kwanza yaani dakika ya 32, Frank Lampard, pia ameipatia Chelsea goli la pili hadi muda wa mapumziko.Goli la tatu limewkwa kimiani na Salomon Kalou, la nne likifungwa tena na mfungaji wa goli la kwanza, Anelka na magoli matatu yakiwekwa kimiani na Drogba, huku beki wa shavu la kushoto wa timu hiyo Ash Cole akifunga bao la nane.
Wakati huohuo, Chama la Manchester United, pia inaongoza kwa goli moja lililofungwa na Mzee mzima Darren Fletcher la pili likifungwa na Lyan Giggs katika kipindi cha kwanza cha mchezo, Goli la tatu likifungwa na O.G, huku goli la nne likifungwa na Ji-Sung Park .
Wamachinga Dar wakemea uvunjifu wa amani
-
wadai suluhu ya changamoto haitatuliwi kwa uvunjifu wa amani.
Na Mwandishi Wetu
Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Wata...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment