
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Wavu nchini , Agustino Israel Agapa (kulia) akimkabidhi vifaa mbalimbali vya michezo Katibu mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Sethi Kamuanda kwa ajili ya kusaidia Chuo cha Maendeleo ya Michezo cha Marya kilichopo mkoani Tanga leo. Vifaa vilivyokabidhiwa leo ni pamoja na mipira, jezi, vitabu na Cds zenye mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kufundishia.
Picha na Aron Msigwa -MAELEZO.
No comments:
Post a Comment