
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume, apata maelezo kutoka kwa Ofisa wa kampuni ya simu ya Huawei, kuhusu utendaji kazi wa kampuni hiyo wakati akiwa katika ziara yake nchini China, akiwa na ujumbe wake, kutoka nchini Tanzania.
Picha na Abdalla Haji
No comments:
Post a Comment