Menu

Monday, May 24, 2010

*DK. AMANI KARUME ZIARANI CHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume, akisalimiana na Naibu Meya wa Jiji la Shangai China, Tang Deng Jie, wakati akiwa katika Ziara yake Nchini China leo, (katikati) Ni Mke wa Rais, Mama Shadya Karume.

No comments:

Post a Comment