
Washiriki wa mkutano wa 45 wa Benki ya Mandeleo ya Afrika (ADB) kutoka nchi mbalimbali wakihakikiwa usajili kwa ajili ya kushiriki katikamkutano huo unaofanyika mjini Abidjan, ambao unatarajia kufunguliwa na Rais wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, utakaoanza Mei 27 mwaka huu.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO
No comments:
Post a Comment