

Moja ya gari jipya la Tucson 1x35 2010, likiwa Mlimani City Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa magari hayo yanayotengenezwa nchini Corea na kuletwa nchi na Kampuni ya Hyundai.

Wananchi wakipata maelezo jinsi ya kutumia gari hilo.

Ofisa Masoko Mkuu wa Kampuni ya Hyundai Tanzania, Anthony Nyeupe, akita maelezo ya gari hilo jipya kwa wananchi waliofika katika uzinduzi wa magari mapya ya Tucson 1x35 2010 uliofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo

Watu walipenda kujua kila kona ya gari hilo na kujionea picha mbalimbali za gari hilo.
No comments:
Post a Comment