Menu

Tuesday, May 18, 2010

*JESHI LA POLISI LASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KOREA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Said Mwema (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea, Sung Soo wakibadilishana Mkataba wa kiushirikiano wa kiuntedaji wakati wa hiyo iliyofanyika, Dar es Salaam leo mchana. Katikati ni msemaji wa Jeshi la Polisi Abdallah Musika.

No comments:

Post a Comment