Menu

Wednesday, May 26, 2010

*KESI YA KINA MRAMBA BADO IPOIPO KWANZA

Watuhumiwa wa kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. Bilioni 11.7, kutoka (kushoto) Basil Mramba, Daniel Yona na Grey Mgonja, wakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo, wakati wakisubiri kusikiliza kesi yao inayoendelea kwenye mahakama hiyo. Picha na Janeth Shekunde

No comments:

Post a Comment