"Hatimaye kimerejeshwa sijui kimekosa soko?"
Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga (kulia), akimkabidhi Sanamu ya Kimakonde, Mwenyekiti wa Bodi ya Makumbusho ya Taifa Dk Costancia Rugumamu, kilichorejeshwa nchini baada ya kuibiwa katika Makumbusho ya Taifa mwaka 1984 na kupelekwa nchini Switzerland, wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment