Menu

Monday, May 10, 2010

*MAGHOROFA MAPYA YENYE HADHI YAKOSA 'PARKING' DAR

Haya ni baadhi tu kati ya majengo mapya ambayo pia yatoa huduma muhimu kwa Jamii, ambayo yamejengwa katikati ya jiji la Dar es Salaam eneo la Posta Mpya, ambayo yamekuwa na kero ya maegesho ya magari, na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa njia hiyo kutokana na msongamano wa magari yanayotafuta maegesho katika eneo hilo ili kuingia ndani ya jengo hilo kupata huduma, wahusika tafuteni njia mbadala ya kukidhi mahitaji ya wateja wenu kwani wanahangaika sana kutafuta maegesho, na je wakati wa ujenzi wa majengo hayo Ramani haikuwa na eneo la maegesho?

Haya ni baadhi tu ya magari yaliyoegeshwa pembezoni mwa barabara iliyo mbele ya majengo hayo pamoja na kuwa eneo hilo hairuhusiwi kuegesha gari na pia inaweza kusababisha ajali na mengine kufunga hata njia.


No comments:

Post a Comment