Menu

Monday, May 10, 2010

*ZANTEL YAKABIDHI TIKEZI ZA WASHINDI WA PROMOSHENI YA DONDOKA SOUTH

Meneja Mauzo ya Kampuni wa Zantel Zanzibar, Mohammed Mussa (kushoto) akimkabidhi tiketi ya safari kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuangalia mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia mshindi wa Droo ya pili ya Dondoka Sauz na Hyundai na Zantel, Said Hamad Shehe (kulia) mkazi wa Zanzibar. Katikati ni Menaja Masoko wa Hyundai Bi. Edna Mapande.


MKurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu za mkononi Zantel Ike Kalu (kushoto) akiweka sahihi kwenye mpira maalum wa Kombe la Dunia wakati wa Bonanza Uwanja wa Uhuru uliodhaminiwa na Zantel. Kulia ni Andrew Aris mmoja wa washiriki wanaoutembeza mpira huo maalum.


No comments:

Post a Comment