
Viongozi mbalimbali wa dini wa nchini Ivory Coast na waalikwa wengine wakisikiliza hotuba ya ufungizi wa mkutano wa 45 wa ADB uliofunguliwa na Rais wa Ivory Coasta Laurent Gbagbo,
mjini Abidjan leo.
Picha Zote na Tiganya Vicent-MAELEZO

Wasanii wa ngoma wa Kikundi cha Temate kutoka Magharibi mwa nchi ya Ivory Coast, kikitumbuiza wakati wa sherehe hizo za ufunguaji wa mkutano wa 45 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) mjini Abidjan leo.

Wasanii hao wakiendelea kushambulia jukwaa.
No comments:
Post a Comment