Habari za Punde

*LAURENT GBAGBO AFUNGUA MKUTANO WA 45 WA ADB LEO ABIDJAN

Viongozi mbalimbali wa dini wa nchini Ivory Coast na waalikwa wengine wakisikiliza hotuba ya ufungizi wa mkutano wa 45 wa ADB uliofunguliwa na Rais wa Ivory Coasta Laurent Gbagbo,
mjini Abidjan leo. Picha Zote na Tiganya Vicent-MAELEZO
Wasanii wa ngoma wa Kikundi cha Temate kutoka Magharibi mwa nchi ya Ivory Coast, kikitumbuiza wakati wa sherehe hizo za ufunguaji wa mkutano wa 45 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) mjini Abidjan leo.

Wasanii hao wakiendelea kushambulia jukwaa.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.