
Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Leonald Thadeo, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kuaga timu ya Taifa ya Copa Cocacola, inayoondoka nchini kesho kwenda Afrika ya Kusini kushiriki katika mashindando hayo kwa nchi za Afrika. Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Cocacola Kwanza Ltd, Alpha Joseph.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ferederick Mwakalebela, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kuaga timu ya Taifa ya Copa Cocacola, inayoondoka nchini kesho kwenda Afrika ya Kusini kushiriki katika mashindando hayo kwa nchi za Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Leonald Thadeo na Meneja Masoko wa Kampuni ya Cocacola Kwanza Ltd, Alpha Joseph.
Baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, wakiwa kwenye mkutano huo na mwalimu wao (kushoto)
No comments:
Post a Comment