Habari za Punde

*SHINDANO LA MISS SINZA KUFANYIKA KESHO VATCAN CITY SINZA

Mratibu wa shindano la kumsaka Miss Sinza 2010, Valeria Urio, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu shindano hilo linalotarajia kufanyika leo kwenye Ukumbi wa Vatcan City Sinza. Kulia ni Mwakilishi wa Kamati ya Miss Tanzania, Yason Mashaka. Baadhi ya warembo hao wakipozi kwa picha wakati wa mkutano na waandishi wa habari.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.