Menu

Tuesday, May 4, 2010

*LIPUMBA AIKOSOA HOTUBA YA RAIS KIKWETE

Mwenyekiti wa Chama cha Wanainchi (CUF), Ibrahim Lipumba (kushoto) akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam leo, akifafanua kuhusu hotuba iliyosomwa na Rais Jakaya Kikwete, akidai kuwa ilikuwa na mapungufu. Kulia ni Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Tanzania Bara, Joram Bashange na Naibu Mkurugenzi wa Uenezi na Mahusiano ya Habari, Ashura Mustapher.

No comments:

Post a Comment