Menu

Tuesday, May 4, 2010

*RAIS JAKAYA AFUNGUA MKUTANO WA KUWAVUTIA WAWEKEZAJI NCHINI

Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Mawaziri Wakuu wastaafu, Salim Ahmed na Joseph Warioba baada ya kuhutubia kongamano la kuboresha uwekezaji nchini ulifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.

No comments:

Post a Comment