Habari za Punde

*MAADHIMISHO YA KUTOKOMEZA TUMBAKU KWA NCHI WANACHAMA KUFANYIKA MEI 31

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Prof. David M wakyusa, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi ya Siku ya kutokomeza Tumbaku Duniani, inayofanyika Mei 31 kila mwaka kwa nchi Wanachama wa Shirika la Afya Duniani. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma ya Kinga Dk. Donnan Mmbando. Picha na Janeth Shekunde.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.