Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Oliver Mhaiki (kushoto) akimkabidhi funguo za mabasi mawili ya kubebea mahabusu na wafungwa, Kamishna Mkuu wa Magereza nchini, Augustino Nanyaro,wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika Makao Makuu ya jeshi hilo , Dar es Salaam leo mchana. Serikali kupitia Programu ya Maboresho ya Sekta ya Sheria (LSRP), imekabidhi mabasi hayo yenye thamani ya shilingi milioni 320 kwa jeshi hilo kwa lengo la kusaidia kusafirishia mahabusu.
NAIBU WAZIRI MAKONDA AWASILI MOROCCO KUIPA MORALI TAIFA STARS
-
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda
amewasili nchini Morocco kwa lengo la kuipa nguvu na kuongeza morali kwa
Timu ya ...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment