Habari za Punde

*MASHINDANO YA POOL TABLE YAFANA COCO BEACH DAR

Mchezaji wa Snooker,Arjun Ashok (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kumuaga akielekea Misri leo kwa mashindano ya mchezo huo ya Ubingwa wa Afrika yatakayojumuisha Nchi 10. atikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Pool Taifa ,Isach Togocho na Katibu, Amos Afyinga.

Mchuano mkali ukiendelea.
Ilikuwa ni shoti za kufa mtu kuonyeshana uwezo.

Warembo hawa pia hawakuwa mbali katika kuhakikisha kuwa huduma mbalimbali katika mashindano hayo zikaa sawa.

Ebwana eeh ! mchizi alikuwa akipiga shoti za hatari babake lakini........

Mchezaji wa Pool, Paphet Sawa, kutoka chuo cha Uandishi wa habari cha TSJ akicheza wakati wa mashindano ya mchezo huo ya 'Safari Lager Higher Learning Pooltable Championship' yanayoanza jana na kumalizika leo viwanja vya Coco Beach Dar es Salaam.
Mchizi akimalizia mpira wake ili acheze Black.

Waamuzi wa mchezo huo wakipanga makundi kabla ya kuanza kwa mchezo huo.

MaDJs, nao hawakuwa nyuma katika kuhakikisha kuwa burudani zinapatikana kikamilifu mahala hapo.
Ni miscratch tu babake.










No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.