Habari za Punde

*MBIO ZA DAR COMRADES HALF MARATHON KUFANYIKA DAR MEI 29

Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi, Vodacom Tanzania, Nector Pendael, akizungumza na waandsihi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu mbio za ‘Dar Comrades Half Marathon’, za Kilometa 21, 10 na 5,zinazotarajia kufanyika Mei 29 mwaka huu jijini. Katikati ni Mjumbe wa Kamati ya SATZ Regent Tanzania Ltd, Paddy Hoon na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.