Menu

Friday, May 28, 2010

*MISS CHANG'OMBE KUFANYIKA JUNI 4 TCC CHANG'OMBE

Silaha za maangamizi za Miss Chan'gombe kuelekea mashindano ya Wilaya Temeke na hatimaye Miss Tanzania 2010 ndi hizo, hapa ni warembo wanaotarajia kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Chang'ombe 2010, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano hilo linalotarajia kufanyika Juni 4 kwenye ukumbi wa Tcc Chang'ombe.
Warembo wanaotarajia kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Chang'ombe 2010, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano hilo linalotarajia kufanyika Juni 4 kwenye ukumbi wa Tcc Chang'ombe.
Warembo wanaotarajia kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Chang'ombe 2010, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na shindano hilo linalotarajia kufanyika Juni 4 kwenye ukumbi wa Tcc Chang'ombe jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment