Menu

Friday, May 28, 2010

*MAONYESHO YA MAKUYA YAANZA JIJINI DAR LEO

Mkurugenzi Mwenza wa Taaisi ya ADEA Doglas Mcfalls (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari Dar es Salaam leo juu ya maonesho ya vitu vya utamaduni vya makabila ya Makonde, Makua na wayao yajuliknayo kama MAKUYA yaliyoanza leo hadi Juni 12 mwaka huu katika ukumbu wa Alliance Francaise Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mwenza wa ADEA Philipo Luhale.
Mkurugenzi Mwenza wa Taaisi ya ADEA, Doglas Mcfalls, akionesha moja ya vinyago vinavyotumiwa na makabila ya watu wa Mtwara kwa waandishi wa Habari Dar es Salaam leo wakati wa maonesho ya vitu vya utamaduni vya makabila ya Makonde, Makua na Wayao yajuliknayo kama MAKUYA yaliyoanza jana hadi Juni 12 mwaka huu katika ukumbu wa Alliance Francaise jijini.

No comments:

Post a Comment