
Meneja wa M-Pesa Mkoa wa Dares Salaam, Moses Krom (kushoto) akimkabidhi simu ya mkononi, Fadhil Mohamed, mkazi wa Mbagala (kulia) baada ya kushinda kujibu maswali kuhusu michuano ya Kombe la Dunia kwa njia ya SMS inayoendeshwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, (wapili kushoto) ni Meneja wa Vodacoshop Mbagala Beatrice Simkoko, na Msimamizi wa Mauzo wa Vodacom Dares Salaam Saimon Mwambapa
No comments:
Post a Comment