Habari za Punde

*WASHINDI WA PROMOSHENI YA SMS KOMBE LA DUNIA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Meneja wa M-Pesa Mkoa wa Dares Salaam, Moses Krom (kushoto) akimkabidhi simu ya mkononi, Fadhil Mohamed, mkazi wa Mbagala (kulia) baada ya kushinda kujibu maswali kuhusu michuano ya Kombe la Dunia kwa njia ya SMS inayoendeshwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, (wapili kushoto) ni Meneja wa Vodacoshop Mbagala Beatrice Simkoko, na Msimamizi wa Mauzo wa Vodacom Dares Salaam Saimon Mwambapa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.