Habari za Punde

*MKOA WA KAGERA WATEKETEZA SILAHA HARAMU

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Kagasheki, akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa jumuia ya afrika mashariki, Beatrice Kiraso (mbele yake), Naibu kamishina wa jeshi la polisi, Issaya Mungulu, Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Salewi na Kamanda jeshi la polisi mkoani Kigoma Geoge mayunga, wakati wa zoezi la uteketezwaji wa silaha, lililofanyika leo. Picha na Audax Muitiganzi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.