Dereva wa Baiskeli ya miguu mitatu (Guta), akipiga simu kuomba msaada kwa wenzake baada ya kuelemewa na mzigo wa chupa za maji alizokuwa amebeba, kufuatia guta lake kupata pancha na mzigo huo kuelemea upande mmoja mbovu jambo lililomfanya hadi kukatikiwa na ndala alizokuwa amevaa na huku mzigo huo ukizidi kwenda chini, katika mitaa ya Posta Barabara ya Bibi Titi, jijini Dar es Salaam leo.
SERIKALI YAPONGEZA MCHANGO WA RED CROSS TANZANIA
-
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
-Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Ubinadamu;
-Ombi la ruzuku kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania lafanyiw...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment