Vodacom Miss Iringa 2010, Rahma Gege, akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Grace Simon (kushoto) na watatu Mary Kagali, baada ya kutangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa St. Dominic,Iringa mjini. Picha kwa hisani ya Vodacom
TBS YAWAALIKA WADAU KUTUMIA MAKTABA YAKE KUJIFUNZA NA KUPATA TAARIFA ZA
VIWANGO
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewaalika wadau na watengenezaji wa
bidhaa mbalimbali ndani na nje ya nchi kutembele...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment