Menu

Wednesday, May 26, 2010

*RAHMA ATWAA TAJI LA MISS IRINGA 2010

Vodacom Miss Iringa 2010, Rahma Gege, akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Grace Simon (kushoto) na watatu Mary Kagali, baada ya kutangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa St. Dominic,Iringa mjini. Picha kwa hisani ya Vodacom

No comments:

Post a Comment