Menu

Wednesday, May 26, 2010

tiGO YAZINDUA PROMOSHENI MPYA 'KWARUZA VOCHA UPATE ZALI'

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya simu za mkononi Tigo, Jackson Mmbando, akionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa Promosheni mpya ya ‘Kwaruza Vocha Upate Zali’, itakayomwezesha mteja wa mtandao huo kujishindia zawadi mbalimbali za muda wa maongezi na fedha taslim, hafla hiyo ua uzinduzi ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Viwango wa Kampuni hiyo, David Zacharia.

No comments:

Post a Comment