Menu

Monday, May 17, 2010

*TIGO YAMALIZA PROMOSHENI YA SHANGWE ZA TIGO NA KOMBE LA DUNIA













Ofisa mawasiliano wa Tigo Jackson Mmando, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za washindi katika Promosheni ya mwisho ya Shangwe za Tigo na Kombe la Dunia, iliyomalizika leo.









Ofisa mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi, Tigo, Jackson Mmbando (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Dishi la DStv na Tv aina ya Plazma mshindi wa Promosheni ya mwisho ya ‘Shangwe za Tigo na Kombe la Dunia’ , Enock Mbena, mkazi wa Kinondoni Dar es Salaam, ambaye ni miongoni mwa washindi katika Promosheni hiyo ya mwisho, iliyomalizika leo. Katikati ni Ofisa Viwango wa Tigo, David Zacharia.

No comments:

Post a Comment