Menu

Saturday, May 15, 2010

*VODACOM DAR MPAKA MORO KUKABIDHI KITITA CHA VODA TUZO MILIONEA

Askari Polisi akimlina Mtumishi wa Benki ya NBC, baada ya kutoka kuchukua fedha za Vodacom Tuzo Milionea, wakielekea katika ukumbi ulioandaliwa ili kumkabidhi.

Mshindi wa Vodacom Tuzo milionea Bernard John (27) akifurahia baada ya kukabidhiwa kitita cha Milioni 100 na Mkuu wa uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Corriea hayupo pichani mwishoni mwa wiki mjini Morogoro

-Mshindi wa Vodacom Tuzo milionea Bernard John (katikati) akipokea sanduku lenye shilingi milioni 100 kutoka kwa Mkuu wa uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Correia (kulia ) kushoto ni Meneja wa Benki ya NBC kanda ya nyanda za juu Ramadhani Lesso.

Mshindi wa Vodacom Tuzo milionea Bernard John (kushoto) akipokea sanduku lenye shilingi milioni 100 kutoka kwa Mkuu wa uendeshaji wa Vodacom Tanzania Peter Correia,kulia ni Mkuu wa kitengo cha utawala cha mahusiano kwa wateja wa Vodacom Aika Makinda






No comments:

Post a Comment