Habari za Punde

*VODACOMA WAKAGUA MIRADI WALIYOIDHAMINI KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA MBAGALA

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha huduma kwa wateja, Geoffrey Wilfred (kushoto) akimkabidhi ndoo ya mafuta ya kula Mwenyekiti wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu, Yatima Group cha Mbagala Chamanzi Dar es Salaam, Winfrida Rubanza walipotembelea kituoni hapo mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa watoto washio katika mazingira magumu wa kituo cha Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi, Tuma Simba (kushoto) akimuonyesha Emmy Njau wa Vodacom, shamba la Biringanya kwenye moja ya mradi ulioanzishwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya watoto hao wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kutoa misaada mbalimbali.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.