
Mshambuliaji wa Hiki ndicho Kikosi cha timu ya Called F.C kutoka Nigeria, kikiwa katika pozi la picha muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kirafiki na Tanzania Stars kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa timu ya Called F.C kutoka Nigeria, Chika Chukwu (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Tanzania Stars, Hashim Abdallah, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye viwanja vya Leaders Club.Wanigeria walishinda 5-2.Timu hiyo inayoundwa na Wanigeria imekuja nchini kwa ajili ya kutafuta soko la usajili kwenye vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu ya Tanzania.

Wabongo kaeni chonjo namba zenu zitachukuliwa na wanigeria hawa si unacheki guu hili likinyooka kutandika shuti?
No comments:
Post a Comment