Habari za Punde

*WAREMBO KUCHUANA KESHO KUWANIA TAJI LA MISS KURASINI


Mratibu wa shindano la Miss Kurasini, Yason Mashaka, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo mchana, kuhusu shindano hilo linalotarajia kufanyika kwenye Ukumbi wa Equator Grill uliopo Mtoni kwa Azizi Ali jijini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Zulu Fashion Zuwena Mustapher (kulia) ni Mmoja kati ya wadhamini wa shindano hilo, Sam Mshana

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.