Meneja Mauzo ya Kampuni wa Zantel Zanzibar, Mohammed Mussa (kushoto) akimkabidhi tiketi ya safari kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuangalia mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia mshindi wa Droo ya pili ya Dondoka Sauz na Hyundai na Zantel, Said Hamad Shehe (kulia) mkazi wa Zanzibar. Katikati ni Menaja Masoko wa Hyundai Bi. Edna Mapande.
Biashara : Ecobank Tanzania Yatoa Elimu ya Huduma za Kifedha Maonesho ya
Sabasaba
-
Ecobank Tanzania imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma
mbalimbali za kifedha kupitia ushiriki wake katika Maonesho ya 50 ya
Kimataifa ya Bi...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment