Habari za Punde

*SERIKALI IWEKEZE KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh.Dkt Batilda Salha Burian, akipata maelezo ya kipeperushi kinachoonyesha jinsi miundombinu ya Barabara ilivyoharibiwa vibaya na mvua zitokanazo na mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka kwa Baalozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Alfonso E. Lenhardt, wakati alipotembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam leo, Picha Zote na Evelyn Mkokoi Ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Batilda Burian, akimkabidhi zawadi Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, wakati alipomtembelea Ofisni kwake Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.