
Waziri wa Nchi, anayesimamia masuala ya Biashara na Uchumi, Zanzibar Mwanahaji Makame, akizungumza wakati wa hafla ya kuzinduwa huduma mpya ya mtandao wa simu za mkononi Zantel unaojulikana kama Z-Pesa. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Kibiashara wa Zantel Norman Moyo na aliyeketi kulia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Noel Herrity.

Wafanyakazi wa Zantel wakiwasajili wateja kujiunga na huduma ya ZPesa ambayo inaenda sambamba na zoezi la kusajili namba za simu kuwawezesha wateja wa Zantel kusajili namba zao
No comments:
Post a Comment