Mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Brazil na Zimbabwe, umemalizika hivi punde, huku Brazil ikiibu kidedea kwa kuwachakaza Zimbabwe kwa mabao matatu kwa bila, 3-0.
Mchezo huo ulianza kwa Zimbabwe kushambulia lango la Brazil na kufika lango mara kadhaa huku washambuliaji wa Zimbabwe waki wa na mcheche kila walipolifikia lango la Brazi na kupiga nje kiasi cha kukosa magoli 2 ya wazi katika kipindi hicho cha kwanza.
Mchezo ulibadika ambapo Brazil walianza kuandika mabao katika dakika ya 42 kipindi hicho cha kwanza kupiti mchezaji wao mahiri, Bastus, aliyefunga kupitia mpira wa adhabu ndogo alioupiga na kuvuka ukuta na hatimaye kutinga moja kwa moja wavuni.
Robonho naye aliiandikia bao la poili timu yake katika dakika ya 44, baada ya kuwatoka babeki wa Zimbabwe na kuachia shuti kali lililomwacha kipa hoi na ktinga waavuni.
Hadi timu hizo zinakwenda mapumziko, Brazil ilikuwa ikiongoza kwa mabao 2-0, na kipindi cha pili Elano, aliipatia timu ya ke ya Brazil bao la tatu (3) na la ushindi, kufuatia pasi nzuri na kufanya mchezo huo kumalizika Brazil ikiwa mbele kwa mabao 3-0, Taifa Stars tukae chonjo tusiwe na mcheche kama waliokuwanao zimbabwe kwani katika kipindi cha kwanza walikuwa na kila hali ya kufunga magoli angalau ya kuongoa tu, lakini sijui kilichowasibu kazi kwetu Wabongo siku hiyo ya jumatau.
‘’HATUTAKI WATUMISHI WA SEKTA YA ARDHI KUWA SEHEMU YA MATATIZO’’-DKT
AKWILAPO
-
Na Munir Shemweta, WANMM MASASI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
amesema wizara yake haitaki watumishi wa sekta ya a...
28 minutes ago
No comments:
Post a Comment